JE WAJUA?
CONCORDE:
Ndege ya abiria yenye kasi kuliko zote duniani iliyoanza kufanya kazi 1972 na kumaliza huduma zake 2003..
Ndege ambayo kwa masafa ya kutoka New York hadi London ina uwezo wa kufika kwa masaa matatu na nusu ambayo kwa ndege za kawaida hutumia masaa saba kufika na inakadiliwa bei ya safari yake kutoka masafa ya New York hadi London ilikuwa kwa pesa za TSH: ilikuwa m15 wakati kwa ndege za kawaida ilikuwa laki 5..
hii ndiyo CONCORDE ndege ya abiria iliyoaminika kuwa na kasi ya ajabu kuliko zote duniani..
Comments
Post a Comment