KUWA HURU

Kuna wakati mwingine ni bora kuwa huru kutoka katika utumwa. Utumwa ninaomaanisha hapa ni ile hali inayosababisha na kupelekea akili kukumbwa na changamoto au matatizo mbalimbali,mfano msongo wa mawazo n.k


Jambo la msingi ni kuepukana sababu zinazopelekea utumwa katika akili 


Kwa maana kwamba afya njema ya akili hujengwa kwa kuwa huru. 


So,avoid it,BE FREE. 


by Sir.Felix,Kalisti J a.k.a KAJO 2️⃣5️⃣

0672241912



Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2021

MADA MEZANI on KAJO ONLINE RADIO