Posts

Here’s what Russia’s Defense Minister Sergei Shoigu said about the situation in Ukraine

Image
Tuesday: 07/06/2022 ❗️LPR 97% Liberated - Defense Minister Shoigu ▪️Azovstal plant completely cleared of mines, including underground areas; ▪️51 units of foreign-supplied equipment have been destroyed in the last 10 days; ▪️6,489 Ukrainian soldiers have surrendered; ▪️Ports of Mariupol and Berdyansk operating as normal, ready for grain shipments; ▪️Road links have been restored from the mainland to Crimea, with preparations made for resuming rail services between Russia, Ukraine, Donbass and Crimea; ▪️Residential areas of Severodonetsk (LPR) completely liberated; offensive is developing towards Popasnaya; Svyatogorsk completely under the control of the Russian military. #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

𝐌𝐀𝐄𝐋𝐄𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐂𝐀𝐅 𝐓𝐅𝐅 𝐖𝐀𝐉𝐈𝐓𝐀𝐅𝐀𝐊𝐀𝐑𝐈

Image
➪Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limetoa maelekezo kwa vyama wanachama wake ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwamba mwisho wa kuwasilisha majina ya klabu na wachezaji wao kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Afrika msimu ujao ni Juni 30, 2022.  ➪Baada ya hapo hakutakuwa na klabu itakayopokewa na wala wachezaji watakaoruhusiwa kushiriki mashindano ya Afrika. ➪Hii ina maana kwamba Tanzania inaweza kukosa wawakilishi wa mashindano ya Afrika msimu ujao kama msimu wake wa soka hautakamilika ndani ya muda huo.  ➪Hadi sasa kwa mujibu wa ratiba ya TFF, msimu wa Tanzania utakamilika Julai 2 kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports. ➪Yaani fainali ya Shirikisho ambayo itamtoa mshiriki wa Kombe la Shirikisho la Afrika itafanyika nje ya tarehe rasmi ya CAF.  ➪Hii ni changamoto kubwa INASIKITISHA..😬 #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 7,2022

Image
                          #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

KUONGEZEKA KWA BARIDI DUNIANI KULIKO MIAKA YA NYUMA

Image
Kuanzia kesho hadi Agosti 22 mwaka huu kutakuwa na baridi zaidi kuliko miaka ya nyuma.  Wanaiita Aphelion phenomenon.  Kuanzia kesho saa 05.27 tutapata uzoefu wa APHELION PHENOMENON , ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua.  Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake.  Hii itaendelea hadi Agosti 2022.  Tutapata hali ya hewa ya baridi zaidi kuliko hali ya hewa ya baridi iliyotangulia, ambayo itaathiri mafua, kikohozi, upungufu wa pumzi, nk. Kwa hiyo, hebu sote tuongeze kinga kwa kunywa vitamini au virutubisho vingi ili kinga yetu iwe imara.  Umbali kutoka kwa Dunia hadi Jua ni dakika 5 za mwanga au kilomita 90,000,000.  Hali ya aphelion hadi kilomita 152,000,000.  66% zaidi.  20:29 Pls share kwa familia na marafiki wote. #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 26,2022

Image
#Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

RAIS SAMIA: 'NIMEWASHINDA MARAIS WANAUME'

Image
Mwandishi: Sir. FELIX, KALISTI J.  Copyright: ISS Africa Rais wa Tanzania Samia Suluhu anasema katika baadhi ya maeneo kwenye majukumu yake ya urais amesimamia vyema zaidi kuliko marais wengine wanaume waliomtangulia.Rais wa Tanzania alisema alikabiliwa na changamoto za kutoaminiwa katika siku zake za kwanza ofisini kwa sababu yeye ni mwanamke - jambo ambalo alilazimika kulishinda. Bi Samia alikuwa akizungumza kwenye kongamano katika mji mkuu wa Ghana Accra – ikiwa ni ziara yake ya kwanza Afrika Magharibi tangu aapishwe kuwa rais kufuatia kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021.“Ilikuwa vigumu sana kuwafanya watu wa Tanzania kuniamini. Kwamba naweza kuendesha nchi sawa na wanaume – hiyo ndiyo ilikuwa changamoto kubwa,” alisema wakati wa kikao kilichoandaliwa kama sehemu ya mkutano wa kila mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)."Katika kipindi cha mwaka mmoja nimeonyesha nguvu za wanawake, niliongoza nchi kama wanaume walivyofanya na katika mazingira mengine kwa ubo...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MEI 19,2022

Image
MAGAZETI  Home Biashara Burudani Magazeti Mchanganyiko Michezo Siasa Teknolojia TV M                           #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG