Posts

WALIMU KUFANYA MTIHANI KABLA YA AJIRA

Image
Jumamosi, Juni 17, 2023 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda By  Juma Issihaka Muktasari: Ili uajiriwe kuwa mwalimu unapaswa kufanya mtihani kupima uwezo wako. Dar es Salaam .  Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe kuwa mwalimu utapaswa kufanya mtihani wa kupima uwezo wako. Kwa sasa, ajira ya ualimu inahusisha kutuma maombi katika tovuti maalum ya maombi ya ajira, kisha anayepata nafasi hufanyiwa usaili kisha kupangiwa eneo la kazi. Powered by:- KAJO MEDIA KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 10,2023

Image
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 10,2023 KALISTI JOSEPH June 10, 2023 Powered by:- KAJO MEDIA KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

AUCHO KUKOSA FAINALI MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO

Image
by KALISTI J.FELIX: Ma y 26, 2023     DODOMA   Related: TETESI: Hizi ndizo Timu Kubwa Zinazowania Saini Ya Fiston Mayele Related: Ratiba ya Yanga Kombe la Shirikisho CAF - Fainali 2023 AUCHO KUKOSA FAINALI MBILI CAF Related: Mechi ya Yanga Inayofuata Kabla ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho CAF Related: Mechi ya Yanga, Ratiba ya nusu fainali kombe la Shirikisho 2023 Kiungo Khalid Aucho atakosa mechi mbili za Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na adhabu ya kadi za njano. Kwa mujibu wa kanuni za CAF mchezaji akipata kadi 6 kwenye mashindano hayo atapata adhabu ya kukosa michezo miwili mfululizo. CAF   Yanga

UDOM AWARDS 2023

Image
https://www.tanisenterprises.co/udomawards/contestants?name=BEST%20STUDENT%20REFEREE&id=41 KUPIGA KURA IKO HIVI WAPENDWA:- 1.Fungua link hio hapo juu kwa kubonyeza itakupeleka moja kwa moja katika category ya BEST STUDENT REFEREE  ili kuweza kupigia kura. 2.Jina la mshiriki ni. KALISTI J. FELIX-050     VOTE -BEST STUDENT REFEREE 3. Kupiga kura unabonyeza kiduara mbele ya mshiriki.. 4. Unamalizia kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa VOTE. Na hapo moja kwa moja utakuwa tayali umepiga kura. ASANTE SANAAAA #VOTE FOR KALISTI J. FELIX #VOTE FOR BEST STUDENT REFEREE

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO IJUMAA MEI 5,2023

Image
KALISTI JOSEPH:  May 04, 2023 Powered by:- KAJO MEDIA KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 04,2023

Image
KALISTI JOSEPH - Thursday, May 04, 2023 Powered by:- KAJO MEDIA KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARI 31,2023

Image