π΄LIVE BROADCASTINGπ΄ Kipindi hewani ni MADA MEZANI. Hii leo January mosi 2022 mada yetu ni:- "MCHANGO WA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA. WAPI TUMETOKA, WAPI TUPO NA WAPI TUNAENDA KAMA VIJANA. " #Basi mpendwa msikilizaji wetu tunaomba uambatane nasi katika kipindi chetu pendwa cha MADA MEZANI kwa siku ya leo. KAJO ONLINE RADIO...THE BEST ONLINE RADIO IN TOWN. Sikiliza matangazo mubashara kwa kubonyeza video hiyo hapo chini πππ Powered by:- ●KAJO ONLINE RADIO https://kajoonlineradio.wordpress.com/ ●KAJO ONLINE TV https://youtube.com/channel/UCOHxrRXbGfaSRW7za3jcyhA ●KAJO MNJELU BLOG https://kajomnjelu.blogspot.com/?m=1
I like it
ReplyDeleteNimependa sanaaa sababu imenisaidia kupata habari zote kwa muda mwafaka na sehemu yoyote niliyopoππΌππΌππΌππΌ
#shukrani sanaaaa. Tupo kwaajili ya kupasha habari zote kwa muda mwafaka.
Delete