Posts

Showing posts from December, 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARI MOSI,2022.. Happy New Year 2022!

Image
  Saturday, January 01, 2022     MAGAZETI HAPPY NEW YEAR 2022!!

HAPPY NEW YEAR 2022

Image
  KAJO ONLINE RADIO 📻KAJO ONLINE RADIO📻 Wishing you Happy New Year 2️⃣0️⃣2️⃣2️⃣ #THE BEST ONLINE RADIO IN TOWN  Powered by  ● KAJO ONLINE TV ● KAJO MNJELU BLOG 

OFFICIAL TRAILER FILAMU YA KIHISTORIA YA "THE ROYAL TOUR"

Image
Utangulizi rasmi(Official Trailer) wa filamu ya kihistoria ya "THE ROYAL TOUR". Ambayo Mhe. Raisi Samia Suluhu Hassan ameshiriki akiwa muongozaji mkuu ili kutangaza utalii, uwekezaji na nyanja zingine  zikiwemo urithi wa sanaa na utamaduni wa nchi yetu. Filamu kamili inatarajiwa kuzinduliwa April, 2022. #Tanzania Mpya🇹🇿 #KAZI IENDELEE✊ 🤲🤲Kwa namna moja ama nyingine naomba sana support yako ewe mdau wangu wa nguvu kwa kusubscribe, kulike na kushare my YouTube channel as 📺KAJO ONLINE TV📺                   KAJO MEDIA  KAJO ONLINE TV📺 KAJO ONLINE RADIO📻 KAJO MNJELU BLOG👩‍💻

LIVE UCHAMBUZI KINA KUELEKEA SIMBA NA YANGA MUDA MFUPI UJAO

https://youtu.be/1m2-2u61sE8   BONYEZA LINK HAPO JUU KUANGALIA UCHAMBUZI MUBASHARA Karibu KAJO MNJELU BLOG ambayo imesajiliwa TCRA kwa ajili ya kukuletea habari kubwa za kisiasa, kijamii, kiuchumi na matukio yote muhimu yanazojiri Tanzania na nje ya Nchi kwa wakati sahihi kila siku:

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA MAKONDA

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni mkoani Dar es Salaam imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana na mapungufu ya kisheria. Uamuzi huo umetolewa leo Desemba 3,2021 na Hakimu Allon Lyamuya. #KAJOMNJELUBLOGUPDATES Kesi ya maombi ya jinai No 7 ya 2021 iliyokua inamkabili DPP, DCI na Mkuu wa mkoa Mstaafu Wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Imetupiliwa mbali na mahakama ya hakimu mkaazi ya kinondoni leo tarehe 3/11/2021 kwa kukosa mashiko ya kisheria. Hakimu mkaazi wa mahakama hiyo A. Lyamuya alifikia uamuzi huo baada ya kubainika kwa makosa yasio tibika kwenye nyaraka za mleta maombi ya kuwashitaki DPP, DCI na Paul Makonda. Awali Mwanasheria wa mleta Maombi H. Mwaisepu alioiomba mahakama kuondoa hati yake maombi ili arekebishe makosa hayo, lakini hakuweza kubainisha ni kwa kifungu kipi cha sheria anafanya maombi hayo. Hivyo kusababisha kesi hiyo kutupiliwa mbali.

KIHONGOSI AENDELEA KUCHANJA MBUGA KAMPENI NGORONGORO:- AZIOMBA KURA KWA LUGHA YA KIMASAI

Image
KIHONGOSI AENDELEA KUCHANJA MBUGA KAMPENI NGORONGORO:- AZIOMBA KURA KWA LUGHA YA KIMASAI KAJO MNJELU BLOG December 03, 2021 KIHONGOSI AENDELEA KUCHANJA MBUGA KAMPENI NGORONGORO:- AZIOMBA KURA KWA LUGHA YA KIMASAI Kajomnjelu.blogspot.com DESEMBA 01,2021 - NGORONGORO Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM nza Tanzania Ndg.Kenan Kihongosi ameendelea kuchanja Mbuga katika kampeni zinazoendelea katika jimbo la Ngorongoro kufuatia kifo cha alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo Ndg. Ole Nasha. "Vijana wote wa Jimbo la Ngorongoro naomba tujitokeze kwa wingi katika kupiga ili tumchague Mgombea wa CCM" Kenan Kihongosi - Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania "Rais wetu Mh.Samia Suluhu Hassan amefanya Makubwa kwa vijana zikiwemo Fursa na Teuzi nyingi ametuamini sisi Vijana hivyo tumpelekee Mbunge wa kufanya nae kazi sio Mbunge wa kupinga kila kitu anatokea vyama vya upinzani" - Kenan Kihongosi Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania "Tumejionea wenyewe Mh.Rais wetu amelet...