Posts

FREEMAN MBOWE; MWANASIASA,MFANYABIASHARA NA MKULIMA ASIYE OGOPA HASARA

Image
Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu kinachovutia watu wengi kutaka kumfahamu zaidi. 1.Imewezekanaje mtoto wa familia ya akitajiri,ambayo ilikuwa na kila kitu cha muhimu anachohitaji binadamu yeyote na kuridhika navyo kuingia katika harakati ngumu na hatari? Freeman alilelewa maisha ya kawaida sana kwa kusoma shule za vijijini Machame kama Rambo Primary Kolira Secondary school, Kibaha Secondary school na kidato cha tano na kidato cha sita akamalizia Ihungo high school 2.Familia nyingi zinasomesha watoto ili wapate kazi au fedha za Kujikimu ktk maisha yao,na wakisha pata vitu hivyo hujihesabia kuwa wameridhika ama hujiona kufanikiwa kimaisha. Lakini ni tofauti na Freeman ambaye hakuridhishwa na utajiri wa kipekee wa familia yake,umaarufu wa biashara za Baba yake tangu enzi za mkoloni, ingali amezungukwa na masikini kila...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DESEMBA 14,2023

Image
Home magazetini HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DESEMBA 14,2023 KALISTI JOSEPH - Thursday, December 14, 202 3 PROMOTED CONTENT Inasafisha mishipa ya damu kuliko kidonge chochote! Jaribu! Cardioton Jinsi ya kuzuia mshtuko wa moyo (fanya hivi mara 3 kwa siku) Cardioton Mwanamke mwenye umri wa miaka 101 alifichua siri ya maisha marefu Cardioton Tags magazetini Facebook POST A COMMENT TAFUTA HABARI FOLLOW US null null RECENTS COMMENTS PROMOTED CONTENT Inasafisha mishipa ya damu kuliko kidonge chochote! Jaribu! Cardioton Jinsi ya kuzuia mshtuko wa moyo (fanya hivi mara 3 kwa siku) Cardioton Jinsi ya kuepuka mshtuko wa moyo (fanya hivi mara 3 kwa siku) Cardioton HABARI MPYA HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DESEMBA 14,2023 December 14, 2023 RC MNDEME AWASHA UMEME KWENYE KIJIJI KILICHOKOSA UMEME TANGU NCHI IPATE UHURU... ATOA MAELEKEZO KWA MKANDARASI December 13, 2023 Video Mpya : SIX MAN - DUNIA December 13, 2023 VANILLA Designed by -KAJO MEDIA  About   Privacy   Contact