Posts

MAANA YA SAIKOLOJIA NA NAFASI YAKE KATIKA JAMII -2

Image
Ijumaa, March 25, 2022 Mwandishi wa makala hii ni Sir FELIX, KALISTI J ni Mwanafunzi wa Shahada ya Elimu katika Saikolojia(BED-PSYCHOLOGY) kutoka  katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).  Anapatikana kwa:- Barua pepe: kajomnjelu@gmail.com Simu: 0672241912/ 0629835302 Tuliona katika makala iliyopita maana ya saikolojia na kuhitimisha kwamba kinachotazamwa zaidi katika saikolojia ni tabia. Kwa hakika matatizo mengi yanayoikabili jamii yetu chanzo chake ni tabia. Tabia ndio chanzo cha matendo tunayoyaona kama kukosekana kwa uaminifu, ubadhilifu wa mali za umma, ufisadi, migogoro ya ndoa, misuguano ya kijamii, chuki, upendo, ugaidi, unyanyapaa, ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kidini, changamoto za kimalezi na kadhalika. Yote haya yanaweza kuchambuliwa na kupatiwa majibu yake kwa kutumia sayansi ya tabia (saikolojia). Katika makala haya nitatoa mifano mifano kadhaa kuonesha namna sayansi ya tabia, inavyoweza kutumika kutatua matatizo yanayoikabili jamii. Elimu na Kujifunza Katik...

MAANA YA SAIKOLOJIA NA NAFASI YAKE KATIKA JAMII -1

Image
Ijumuaa, March 25, 2022 Mwandishi wa makala hii ni Sir FELIX, KALISTI J ni Mwanafunzi wa Shahada ya Elimu katika Saikolojia(BED-PSYCHOLOGY) kutoka  katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).  Anapatikana kwa:- Barua pepe: kajomnjelu@gmail.com Simu: 0672241912/ 0629835302 SAIKOLOJIA, neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza 'Psychology', ni muunganiko wa maneno mawili ya kigiriki ambayo ni "Psyche- means soul" na "logos- means study of/knowledge", si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Asili ya  'psychology'  ni neno 'psyche' lenye maana ya nafsi. Katika makala haya, tunasaili kwa ufupi maana ya saikolojia kama taaluma na kuonesha nafasi ya taaluma hiyo ngeni katika jamii yetu katika kutatua matatizo ya kijamii na hivyo kuharakisha juhudi za watu kujiletea maendeleo yetu. Saikolojia ni nini? Neno kuu linalobeba dhana ya saikolojia ni tabia na akili. Tunapozungumzia tabia, tuna maana ya matendo, miitikio au mienendo inayoweza kuonekana waz...

JITAHIDI KUISHI NA WATU VIZURI MAANA HUWEZI KUJUA NANI ATAKUWA BOSS WAKO KESHO.

Image
🔸Hii Picha inatupa funzo kubwa maishani. -Ni picha ya Samwel Etoò na Rigobert Song wakati wakiwa wanaitumikia timu ya Taifa ya Cameroon 🇨🇲 Wakati huo Etoò akiwa bado kinda huku Song akiwa ni mchezaji Kiongozi, captain wa kutegemewa kwenye Kikosi (alikuwa kama kaka kwao) Baada ya miaka kupita Song alistaafu Kucheza soka akamuacha Etoò akiendelea Kucheza mpira, hatimaye wakati wake ukafika naye akastaafu Kucheza soka. Sarafu ikapinduka gwaride likapigwa wa mbele wakageuka nyuma, wa nyuma wakawa wa mbele. Mwishoni Mwa Mwaka 2021 Etoò akashinda kiti cha uraisi wa chama cha soka Cameroon 🇨🇲 Fecafoot. Baada ya kuwa rais, Siku ya jumatatu 28, February 2022 Etoo akaamua kumpa ajira ya kuifundisha timu ya Taifa bwana mkubwa wake Rigobert Song ambaye ni kaka yake Kwenye soka, na mara nyingi alikuwa akipokea maelekezo kutoka kwake. 🔸Jiulize, -kama Song angeishi vibaya na Etoò hii ajira leo angeipata? #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-rad...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARY 14,2022

Image
#Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-radio ●KAJO ONLINE TV📺 https://youtube.com/channel/UCOHxrRXbGfaSRW7za3jcyhA ●KAJO MNJELU BLOG📰 https://kajomnjelu.blogspot.com/?m=1   FEBRUARY 14, 2022

BANGO LITAKAA MWEZI MZIMA

Image
Valentine’s day February 14 2022 Mtangazaji/Mjasiriamali Zamaradi Mketema ameingia kwenye trend mitandaoni baada ya kutundika barabarani bango lenye picha ya Mume wake likiwa na maneno ''Acha dunia ijue nakupenda kiasi gani, YOU ARE MY KING, happy Valentine’s day my love…… from your loving Wife”  Baada ya kusambaa kwa picha hii KAJO MEDIA PRODUCTIONS ilimpigia simu ili kufahamu zaidi ambapo amesema bango hili ambalo alianza kuliandaa kwa wiki mbili zilizopita bila Mume wake kufahamu, limewekwa jana February 13 saa kumi na mbili jioni na amelilipia litakaa hapo kwa muda wa mwezi mzima "hii ni barabara ambayo anapenda sana kupita yani kila siku lazima apite ndio maana nimeliweka pale" "Baada ya kuliweka nilimchukua mpaka pale amefurahi sana, tulipofika pale alicheka sana alafu akaingia kwenye gari machozi yakawa yanamtoka akaanza kulia akawa ameinama kwenye gari akasema kwahiyo Mke wangu umeamua kuniweka hapa juu…… amefurahi sana kwakweli” “Sasa hivi tuna miaka mit...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARY 13,2022

Image
            #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-radio ●KAJO ONLINE TV📺 https://youtube.com/channel/UCOHxrRXbGfaSRW7za3jcyhA ●KAJO MNJELU BLOG📰 https://kajomnjelu.blogspot.com/?m=1   February 13, 2022

SERIKALI KUGHARAMIA MATIBABU YA PROF. JAY MUHIMBILI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuwa  kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu  aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Bw. Joseph Haule (Prof. Jay) anayetibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kwenda nyumbani. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu alipofika kumjulia hali msanii huyo  na kuwasilisha salamu za Mhe. Rais. “Nimefika kuleta salamu za Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo safarini nje ya nchi, amesema kuwa anatambua mchango wa Prof. Jay akiwa Mbunge wa Mikumi lakini pia kazi zake za sanaa ambazo zimehamasisha vijana wengi kujiajiri kupitia muziki hivyo kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yake hadi hapo ataporuhusiwa kutoka hospitalini  na ninauagiza Uongozi wa Hospitali kuleta bili zote Wizarani kuanzia sasa”, amesema Waziri Ummy. Aidha, amesema Mhe. Rais anatoa pole za kuuguza kwa familia ya Prof. Jay na pia anamtakia kila la heri ...

NAIBU WAZIRI SAGINI AITAKA SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI KUELIMISHA WATANZANIA

Image
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akizungumza na Watendaji wa Sekretarieti ya Kupambana na Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu- ATS, leo Februari 11,2022 jijini Dodoma. Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu- ATS, Separatus Fella akielezea utendaji kazi wa Sekretarieti hiyo mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini leo Februari 11,2022 jijini Dodoma. Afisa wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu- ATS, Alex Lupilya akieleza changamoto zinazowakabili Sekretarieti hiyo wanapopambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu nchini kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini leo Februari 11,2022 jijini Dodoma. ..........................................................................   Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka Sekretarieti ya Kupambana na Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Bin...

UDOM SR2

Image
Student Record Management System (SRMS)   Login Copyright © 2022. UDOM SRMS (Version No. 2.0)

A TRIUMPHANT RETURN HOME FOR REFEREE MUKASANGA

Image
Football Referee Salima Rhadia Mukasanga, who became the first women to referee a match in the history of African Cup of Nations, returned home to a triumphant welcome. Upon arrival at Kigali International Airport, Mukasanga was welcomed by fellow referees and the Secretary General of the Rwanda Football Federation, who presented her with flowers for a job well done in Cameroon. Congratulations👏⚽️ #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-radio ●KAJO ONLINE TV📺 https://youtube.com/channel/UCOHxrRXbGfaSRW7za3jcyhA ●KAJO MNJELU BLOG📰 https://kajomnjelu.blogspot.com/?m=1

UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI(TRA)

Image

JE, WAJUA KITU BINADAMU ANACHOPENDA KULIKO VYOTE DUNIANI?

Image
Watu wanaweza wakawa na majibu tofauti mengi  kuhusiana na swali hili kwamba, ni  kitu gani ambacho wanadamu hupenda kuwa nacho kuliko kitu kingine chochote kile hapa chini ya jua.  Simaanishi ile kanuni maarufu ya “ Maslow’s hierarchy of needs”  ya hatua za mahitaji ya binadamu, kwani ingelikuwa ni hiyo basi tungelisema binadamu anahitaji zaidi chakula na malazi ili aweze kuishi. Kwa mtazamo wa wengi jibu linaweza likawa ni moja kati ya vitu hivi vifuatayo( vimetajwa baadhi tu ) kabla hatujaangalia jibu sahihi ni lipi la ni kitu gani binadamu anachopenda zaidi kuliko vitu vingine vyote hapa Duniani. PESA. Bila shaka yeyote, idadi kubwa ya watu ni lazima watajibu kwamba, kile wanachopenda zaidi maishani mwao wawe nacho ni PESA, au kwa maneno mengine wanapenda kuwa na utajiri utakaowawezesha kununua kila kitu wakipendacho. Binafsi siwezi nikabisha hilo ingawa sina hakika ikiwa pesa ina uwezo wa kununua kila kitu hapa duniani. KAZI NZURI. Wengine watataja, wangependa k...