Posts

WAZIRI BASHE AKIWASILISHA BAJETI WIZARA YA KILIMO 2022.

Image
“Serikali ya Awamu ya Kwanza, ilitambua Tanzania kama nchi ya Wakulima na Wafanyakazi na kuwekeza katika kilimo hususani katika maeneo ya:- Vyuo vya Utafiti na Mafunzo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Mashirika ya Umma yanayosimamia Kilimo, Bodi za Mazao na Vyama vya Ushirika.” “Pia ilihamasisha kilimo na lishe kupitia programu na kampeni mbalimbali ikiwemo Ukulima wa Kisasa, Kilimo cha kufa na kupona, Chakula ni Uhai, Mtu ni Afya, Elimu ya Kujitegemea na Siasa ni Kilimo. Aidha, katika kipindi hicho, msisitizo uliwekwa katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara na kufikia kiwango cha kuongoza kimataifa kwa baadhi ya mazao ikiwemo korosho na mkonge” “Serikali ya Awamu ya Pili, ilifanya mageuzi ya uchumi yaliyokuwa kichocheo katika maendeleo ya kilimo ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa Sera ya Kilimo ya mwaka 1983. Aidha, Serikali ilipunguza vikwazo katika biashara ili kurahisisha upatikanaji wa bidhaa kwa ajili ya ustawi wa wananchi.” “Serikali ya Awamu ya Tatu, iliimarisha Taa...

MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI TAREHE 14/05/2022

Image
Nakualika karibu kutizama Vichwa vya mbele na Nyuma vya Magazeti yote ya Tanzania ikiwa ni Jumamosi ya tarehe 14/05/2022. Bonyeza link hapo chini kutizama 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 MAGAZETI YA LEO TAREHE 14/05/2022 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO   KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

MASOMO YA MISA DOMINIKA YA 4 YA PASAKA MWAKA C WA KANISA.

Image
MASOMO YA MISA DOMINIKA YA 4 YA PASAKA(DOMINIKA YA KRISTO MCHUNGAJI MWEMA). SIKU YA KUOMBEA MIITO SOMO 1 Mdo 13:14, 43-52 Paulo na Barnaba walitoka Perge, wakapita kati ya nchi, wakafika Antiokia, mji wa Pisidia, wakaingia katika sinagogi siku ya sabato, wakaketi. Sinagogi ilipofumukana, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao, wakawatia moyo kudumu katika neema ya Mungu. Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu. Bali Wayahudi walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayakanusha maneno yaliyonenwa na Paulo, wakibisha na kutukana. Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona nafsi zenu kuwa hamkustahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia Mataifa. Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana. Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia. Mataifa waliposikia hayo wakafur...

MASOMO YA MISA DOMINIKA YA 3 YA PASAKA MWAKA C WA KANISA.

Image
DOMINIKA YA 3 YA PASAKA YA  MWAKA C WA KANISA. MASOMO YA MISA- 01/05/2022. SOMO LA KWANZA.   Mdo 5:27b-32, 40b-41 Kuhani Mkuu akawauliza, akisema, Je! Hatukuwaamuru ninyi kwa nguvu, msifundishe kwa jina hili? Nanyi, tazameni, mmeijaza Yerusalemu mafundisho yenu, na mnataka kuileta damu ya mtu yule juu yetu. Petro na mitume wakajibu, wakisema, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu. Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimwua mkimtundika katika mti. Mtu huyo Mungu amemtukuza kwa mkono wake wa kuume, awe Mkuu na Mwokozi, awape Waisraeli toba na msamaha wa dhambi. Na sisi tu mashahidi wa mambo haya, pamoja na Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wote wamtiio. Nao walipowaita mitume, wakawapiga, wakawaamuru wasinene kwa jina lake Yesu; kisha wakawaacha waende zao. Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya Jina hilo. WIMBO WA KATIKATI. Zab 30: 1, 3, 5, 10-12 Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua,...

𝗝𝗘 𝗪𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗙𝗜 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗚𝗘𝗟𝗘𝗚𝗘𝗟𝗘 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗜𝗟𝗜𝗔 𝗦𝗜𝗢 𝗨𝗧𝗔𝗥𝗔𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗔 𝗟𝗜𝗧𝗨𝗥𝗝𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗡𝗜𝗦𝗔?

Image
Mwandishi: FELIX, KALISTI J. *TONE LA UPENDO*❤️❤️👇 Wataalamu wa masuala ya uchumi wanasema kwamba, katika vita vya mafanikio, kuna njia nyingi mtu anapaswa azijue ili aweze kufanikiwa. Na mbinu mojawapo ya mafanikio, ni kumuiga yule aliyefanikiwa. Maana kutoka kwake, unaweza kujifunza vitu vingi vitakavyokusaidia katika safari yako ya maisha. Kadhalika hata katika mambo ya imani, sio vibaya kwa Mkatoliki kumuiga Mkristo wa dhehebu lingine katika jambo jema analolifanya, lakini sio kila kitu unahitajika kukichukua kama kilivyo kutoka kwake. Mfano mzuri ni katika jambo hili la kupiga makofi na vigelegele Kanisani, hasa wakati ule ambao Padre anatoa homilia yake kwa Waamini. Ukweli hata sasa kumekuwa na desturi baadhi ya Maparokia, wakati wa Misa Padre anapohubiri, utakuta Waamini wengi wakipiga makofi na vigelegele, kisa tu mahubiri hayo ya Padre yamewagusa na kuwafurahisha sana siku hiyo. Na kibaya zaidi wengine utawasikia wakipiga makelele yao wakisema: 𝗡𝗱𝗶𝗼 𝗕𝗮𝗯𝗮, 𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗮...

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI YA APRIL 30,2022

Image

MAANA YA SAIKOLOJIA NA NAFASI YAKE KATIKA JAMII -2

Image
Ijumaa, March 25, 2022 Mwandishi wa makala hii ni Sir FELIX, KALISTI J ni Mwanafunzi wa Shahada ya Elimu katika Saikolojia(BED-PSYCHOLOGY) kutoka  katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).  Anapatikana kwa:- Barua pepe: kajomnjelu@gmail.com Simu: 0672241912/ 0629835302 Tuliona katika makala iliyopita maana ya saikolojia na kuhitimisha kwamba kinachotazamwa zaidi katika saikolojia ni tabia. Kwa hakika matatizo mengi yanayoikabili jamii yetu chanzo chake ni tabia. Tabia ndio chanzo cha matendo tunayoyaona kama kukosekana kwa uaminifu, ubadhilifu wa mali za umma, ufisadi, migogoro ya ndoa, misuguano ya kijamii, chuki, upendo, ugaidi, unyanyapaa, ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa kidini, changamoto za kimalezi na kadhalika. Yote haya yanaweza kuchambuliwa na kupatiwa majibu yake kwa kutumia sayansi ya tabia (saikolojia). Katika makala haya nitatoa mifano mifano kadhaa kuonesha namna sayansi ya tabia, inavyoweza kutumika kutatua matatizo yanayoikabili jamii. Elimu na Kujifunza Katik...

MAANA YA SAIKOLOJIA NA NAFASI YAKE KATIKA JAMII -1

Image
Ijumuaa, March 25, 2022 Mwandishi wa makala hii ni Sir FELIX, KALISTI J ni Mwanafunzi wa Shahada ya Elimu katika Saikolojia(BED-PSYCHOLOGY) kutoka  katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).  Anapatikana kwa:- Barua pepe: kajomnjelu@gmail.com Simu: 0672241912/ 0629835302 SAIKOLOJIA, neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza 'Psychology', ni muunganiko wa maneno mawili ya kigiriki ambayo ni "Psyche- means soul" na "logos- means study of/knowledge", si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Asili ya  'psychology'  ni neno 'psyche' lenye maana ya nafsi. Katika makala haya, tunasaili kwa ufupi maana ya saikolojia kama taaluma na kuonesha nafasi ya taaluma hiyo ngeni katika jamii yetu katika kutatua matatizo ya kijamii na hivyo kuharakisha juhudi za watu kujiletea maendeleo yetu. Saikolojia ni nini? Neno kuu linalobeba dhana ya saikolojia ni tabia na akili. Tunapozungumzia tabia, tuna maana ya matendo, miitikio au mienendo inayoweza kuonekana waz...

JITAHIDI KUISHI NA WATU VIZURI MAANA HUWEZI KUJUA NANI ATAKUWA BOSS WAKO KESHO.

Image
🔸Hii Picha inatupa funzo kubwa maishani. -Ni picha ya Samwel Etoò na Rigobert Song wakati wakiwa wanaitumikia timu ya Taifa ya Cameroon 🇨🇲 Wakati huo Etoò akiwa bado kinda huku Song akiwa ni mchezaji Kiongozi, captain wa kutegemewa kwenye Kikosi (alikuwa kama kaka kwao) Baada ya miaka kupita Song alistaafu Kucheza soka akamuacha Etoò akiendelea Kucheza mpira, hatimaye wakati wake ukafika naye akastaafu Kucheza soka. Sarafu ikapinduka gwaride likapigwa wa mbele wakageuka nyuma, wa nyuma wakawa wa mbele. Mwishoni Mwa Mwaka 2021 Etoò akashinda kiti cha uraisi wa chama cha soka Cameroon 🇨🇲 Fecafoot. Baada ya kuwa rais, Siku ya jumatatu 28, February 2022 Etoo akaamua kumpa ajira ya kuifundisha timu ya Taifa bwana mkubwa wake Rigobert Song ambaye ni kaka yake Kwenye soka, na mara nyingi alikuwa akipokea maelekezo kutoka kwake. 🔸Jiulize, -kama Song angeishi vibaya na Etoò hii ajira leo angeipata? #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-rad...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARY 14,2022

Image
#Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS ●KAJO ONLINE RADIO📻 https://mixlr.com/kajo-online-radio ●KAJO ONLINE TV📺 https://youtube.com/channel/UCOHxrRXbGfaSRW7za3jcyhA ●KAJO MNJELU BLOG📰 https://kajomnjelu.blogspot.com/?m=1   FEBRUARY 14, 2022