Posts

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA(PSLE) 2022

Image
BONYEZA LINK HAPO CHINI KUTIZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA(PSLE) 2022. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2022 Powered by:- KAJO MEDIA KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 01.10.2022

Image
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 01.10.2022 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Neymar na Mbappe KAJO MNJELU BLOG  Mkurugenzi wa michezo wa Paris St-Germain Luis Campos amesema klabu hiyo ilifanya makosa kwa kuwasajili fowadi wa Brazil Neymar, 30, na mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 23, katika madirisha ya hivi majuzi ya uhamisho. (Mail) Mbappe aliipatia PSG orodha ya wachezaji wanne wanaotaka kuhama msimu huu wa joto ikiwa ni pamoja na mshambuliaji wa Manchester United na Uingereza Marcus Rashford, 24. (RMC Sport - in French) Mshambulizi wa RB Leipzig Mfaransa Christopher Nkunku, 24, tayari amekamilisha uchunguzi wa kimatibabu kabla ya kujiunga na Chelsea kwa pauni milioni 52 katika dirisha lijalo la usajili. (Bild) Mshambulizi wa Manchester City na Norway Erling Haaland, 22, alifikiria kuhamia Liverpool katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi, lakini khakufikiria uhamia Manchester United  hata chembe.  CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya...

BURKINA FASO: MAAFISA WA JESHI WAMPINDUA KIONGOZI DAMIBA

Image
Burkina Faso: Maafisa wa jeshi wampindua kiongozi Damiba CHANZO CHA PICHA, RADIO TELEVISION DU BURKINA Maelezo ya picha, Ibrahim Traore alitaja sababu ya kupinduliwa kwa Lt Kanali Damiba kutokana na kushindwa kukabiliana na waasi wa Kiislamu. Kapteni wa jeshi Burkina Faso ametangaza katika televisheni ya taifa kwamba amempindua madarakani  kiongozi wa jeshi Luteni  Kanali Paul-Henri Damiba. Ibrahim Traore ameeleza sababu ya kuidhinisha mapinduzi hayo ni kutokana na kushindwa kwa Luteni Kanali Damiba kukabiliana na waasi. Kadhalika ametangaza kuwa mipaka imefungwa kwa muda usiojulikana  na shughuli zote za kisiasa zimesimamishwa. Wanajeshi wa Damiba waliipindua serikali iliochaguliwa mnamo Januari, wakiishutumu serikali kushindwa kudhibti mashambulio ya wapiganaji wenye itikadi kali za kiislamu. Lakini utawala wake pia umeshindwa kuzima ghasia za wapiganaji jihadi hao. Jumatatu, wanajeshi 11 waliuawa walipokuwa wakisindikiza msururu wa magari ya raia  kaskazini mwa nc...

WORD OF THE DAY

Image
#Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNE 25,2022

Image
June 25, 2022 #Powered by:- KAJO MEDIA PRODUCTIONS KAJO ONLINE RADIO    KAJO ONLINE TV KAJO MNJELU BLOG

CCM YAFUNGUA MILANGO MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA

Image
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan akiendesha Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, kilichofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Makao Makuu ya CCM la White House Jijini Dodoma, jana. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa,itikadi na Uenezi (NEC)Shaka Hamdu Shaka akizungumza na waandishi wa habari leo Na, KAJO MNJELU BLOG  DODOMA  MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana jana Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma ikiwa ni utaratibu wa vikao vyake vya Kitaifa. Hatua hii imekuja baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukutana tarehe 21/06/2022 Ikulu Chamwino, Dodoma kwa kikao cha siku moja cha kawaida na kufuatia kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa k...

UCHAMBUZI WA BAJETI YA TAIFA 2022/2023.

Image
Mtayarishaji ni Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo   (MNEC-Taifa). Na kuhaririwa na Mwl. Mwangoka Emmanuel (Mwanafunzi-UDOM) Hello! WATANZANIA. Nawasalimu nyote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA. KAZI IENDELEE Kwa leo natamani kubadilishana mawazo nanyi hasa kwenye kipindi hiki Cha uchambuzi wa Bajeti ya Taifa 2022/2023. Kiufupi kweli serikali iko kazini kwa ajili ya waTanzania sote. HONGERENI SANA Kwa maoni yangu, bajeti ni nzuri imeandaliwa kwa ajili ya wananchi hasa  mkazo mkubwa ukiwa kwenye miundo mbinu ya barabara, madaraja, kilimo ambapo tayari Ni ongezeko la kutosha kutoka sh. bilioni 275 hadi 900. Lakini pia, inaleta unafuu kwa wazazi kwa  kuondoa ada kwa wanafunzi wa kidato cha tano hadi sita ambapo Sasa wanafunzi watasoma bila Ada kutoka shule ya msingi na sekondari. Lakini pia, ujenzi wa VETA kwa kila mkoa na wilaya, ongezeko la bajeti ya uvuvi na ufugaji, mwendelezo wa miradi yote ya mkakati kama  Bwawa la Mwalimu Nyerere, SGR na n.k. Kimsingi...